Posted on: December 29th, 2018
Manispaa ya Moshi imetekeleza agizo la Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli la ugawaji wa vitambulisho maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo ili kuweza kufanya biashara zao...
Posted on: December 22nd, 2018
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Seleman Jafo amefanya ziara katika kituo kikuu cha mabasi kilichopo Manispaa ya Moshi na kusisitiza kuanza haraka kwa w...
Posted on: December 20th, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imezindua magari mapya matatu ya uzoaji taka ikiwa ni juhudi za kumuunga Mkono Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Joseph Magufuli za kuhakikisha Mji wa ...