• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
        • Elimu ya awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mipango Takwiku na Ufuatiliaji
      • Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Elimu ya awali na Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ununuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Election
    • Muundo wa Kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Information Technology,Communication and Public Relation,

 Kitengo cha teknolojia habari, mawasiliano  na uhusiano

Kitengo cha teknolojia, habari, mawasiliano na uhusiano ni kitengo kimojawapo kati ya vitengo sita katika muundo wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.

Kitengo kwa sasa kina jumla ya watumishi watatu

  majukumu ya Kitengo ni,

Kusambaza na kutoa taarifa kwa wananchi,wadau na vyombo vya habari.

Kuandaa itifaki wakati wa wageni au viongozi wanapowasili Katika Manispaa

Kuhakikisha ufanisi wa mawasiliano wa ndani na nje ya Halmashauri ya Manispaa

Kuratibu Uhusiano ya miji dada,wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi.

Kuhakikisha ubora na ufanisi wa TEHAMA.

Kumshauri Mkurugenzi masuala yanayohusu vyombo vya habari

Kuandaa majarida,makala,vipindi vya Television ana Radio

Kutoa na kuratibu matangazo ya Halamshauri na kuandaa maonyesho ya shughuli zinazofanya na Halamashauri.

Kuhakikisha uharakishwaji wa matumizi ya e-government katika sekta zote Manispaa

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI KWA KIPINDI CHA MWAKA 2023 HADI 2026 May 18, 2023
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI July 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU September 21, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA(JOINING INSTRUCTIONS)KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI 2021 December 18, 2020
  • Tazama

Habari Mpya

  • WAKAZI WENGI WA MANISPAA YA MOSHI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UZITO MKUBWA

    September 29, 2023
  • WATOTO 28,141 WAPATIWA MATONE YA VITAMIN A

    August 22, 2023
  • MANISPAA YA MOSHI YAMPONGEZA DR SAMIA KWA KAZI NZURI ANAZOFANYA

    July 28, 2023
  • WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 18, 2023
  • Tazama

video

LISHE KUWA AJENDA YA KUDUMU MANISPAA YA MOSHI
videos

Kurasa za Karibu

  • Instagram account

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi