Posted on: May 21st, 2018
UJUMBE wa watu watano kutoka mji wa Suncheon nchini Korea Kusini ukiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji hilo Mr.Choong-Hoon Cho wametembelea manispaa ya Moshi na kusaini makubaliano ya kiungwana n...
Posted on: May 8th, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, imetoa
mafunzo ya sheria ya manunuzi ya mwaka 2011 na marekebisho yake ya
mwaka 2016 kwa Madiwani ,hatua ambayo itawawezesha kujua dhana na msingi wa manunuzi y...
Posted on: April 18th, 2018
WANAFUNZI 29,000 wa shule za msingi katika Manispaa ya Moshi, wameanza kunufaika na mpango wa taifa wa kudhibiti magonjwa yasiyopewa kipaumbele, baada ya Wizara ya Afya kuendesha zoezi maalum...