Posted on: December 20th, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imezindua magari mapya matatu ya uzoaji taka ikiwa ni juhudi za kumuunga Mkono Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Joseph Magufuli za kuhakikisha Mji wa ...
Posted on: November 10th, 2018
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameiopongeza Halmashauri ya Manispaa ya Moshi kwa usafi na ujenzi wa miundombinu.
“Nawapongeza Manispaa ya Moshi kwa usafi...
Posted on: October 31st, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imezindua rasmi majukwaa ya kuwawezesha wanawake kiuchumi katika ngazi ya Kata ikiwa ni moja ya malengo yake ya kuwawezesha wanawake kiuchumi.
Katika kutekeleza mpa...