Posted on: December 19th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mh. Kippi Warioba amewataka washiriki wa kikako kazi cha kujadili Mpango Kabambe wa Manispaa ya Moshi wa Mwaka 2019-2039 kuzingatia mahitaji ya wananchi wanapojadili ...
Posted on: May 27th, 2019
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imesaini mkataba na kampuni ya ukandarasi ya Rocktrotinic Ltd. ya Mjini Moshi kwa ajili ukarabati na uboreshaji wa dampo la kutupia taka ngumu utakaogharimu kiasi tsh ...
Posted on: March 27th, 2019
Halmashauri ya manispaa ya Moshi,imetoa mikopo isiyo na riba yenye thamani ya shilingi milioni 225 kwa vikundi 45 vikiwemo vikundi 38 vya wanawake, 5 vya vijana na vikundi 2 walemavu, katika manispaa ...