• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
        • Elimu ya awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mipango Takwiku na Ufuatiliaji
      • Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Elimu ya awali na Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ununuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Election
    • Muundo wa Kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Secondary Education

Idara ya Elimu  Sekondari katika Manispaa ya Moshi inajukumu la kusimamia Elimu ya Sekondari na kutekeleza yafuatayo:-

 

  • Kuwakilisha  Wizara ya Elimu Sayansi na Technolojia pamoja Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaaa  katika ngazi zote kuhusu masuala  ya Elimu ya Sekondari
  • Kufafanua na kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Sheria na Kanuni zinazoongoza utoaji wa Elimu ya Sekondari.
  • Kuhakikisha mtaala wa Elimu ya Sekondari unatekelezwa ipasavyo.
  • Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu masuala yote ya Elimu ya Sekondari.
  • Kusimamia upanuzi wa Elimu ya Sekondari katika Halmashauri:
  • Kusimamia haki na maslahi ya walimu na watumishi wengine wa ngazi ya elimu ya sekondari katika Halmashauri.
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya kitaifa inayoendeshwa kwa shule  za sekondari katika Halmashauri.
  • Kutayarisha na kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu ya sekondari kila mwaka.
  • Kufuatilia na kutathimini maendeleo ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri.
  • Kufuatilia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi wa shule za sekondari
  • Kusimamia maendeleo ya taaluma na michezo ya shule za sekondari katika   Halmashauri.
  • Kuratibu, kukusanya na kuchambua Takwimu za Elimu ya Sekondari katika Halmashauri.
  • Kufuatilia mapato na matumizi ya fedha katika Shule za Sekondari
  • Kuwatambua na kuwapatia huduma stahiki wanafunzi wenye mahitaji maalumu.

Idadi ya Shule za Sekondari katika Manispaa ya Moshi ni 25; kati ya hizo shule 12 ni za kutwa na Shule  2 ni za bweni, Shule 11 ni za umiliki binafsi na mashirika.

Idara ina jumla ya watumishi  885

Matangazo

  • WALIOCHAGULIWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI SHULE YA SEKONDARI MAWENZI July 27, 2022
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI July 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU September 21, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA(JOINING INSTRUCTIONS)KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI 2021 December 18, 2020
  • Tazama

Habari Mpya

  • WANANCHI WA KATA YA MSARANGA WAMPONGEZA RAIS DK. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUWAJENGEA SHULE YA SEKONDARI

    February 22, 2023
  • ZAIDI YA BILIONI 50.1 KUTUMIKA MANISPAA YA MOSHI 2023/2024

    February 14, 2023
  • MKUU WA WILAYA AWAPONGEZA WALIMU WA MANISPAA YA MOSHI

    January 10, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MOSHI AUPONGEZA UONGOZI WA MANISPAA KWA KUTOA MIKOPO YA SHS. 367,550,000.

    November 10, 2022
  • Tazama

video

LISHE KUWA AJENDA YA KUDUMU MANISPAA YA MOSHI
videos

Kurasa za Karibu

  • Instagram account

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi