Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imetumia zaidi ya sh. Bil 6 kwa ajili ya Kutekeleza miradi ya Maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2021/2022.Hayo yamebainisha na Mstahiki wa Meya Zuberi Kidumo wakati akisoma taarifa yautekelezaji ya mwaka kwenye mabaraza la Halmashauri
Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wamefurahishwa na uendashaji wa dampo la kisasa na kiwanda cha kutengeneza kiwanda cha mbolea ya mboji kilichopo eneo la Mtakuja.
MOSHI MANISPAA KILIMANJARO
Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI
Simu: +255-027-2752906
simu ya Mkononi: +255-027-274371/4
Barua Pepe: md@moshimc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi