Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wa Moshi Mjini Ndugu Faraji Swai ampongeza Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe. Abbas Kayanda kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo.