Maafisa ya Waandikishaji Wasaidizi Ngazi ya Kata Wakiwa kwenye Mafunzo ya Siku mbili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.
Zoezi hili la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura linatarajia kufanyika kuanzia tarehe 11 hadi 17 Desemba 2024 ambapo wapiga kura waliohamia Manispaa ya Moshi watapata fursa ya kuboresha taarifa zao wale wapya wataandikishwa na waliokosa sifa za kupiga kura wataondolewa
MOSHI MANISPAA KILIMANJARO
Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI
Simu: +255-027-2752906
simu ya Mkononi: +255-027-274371/4
Barua Pepe: md@moshimc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi