• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
        • Elimu ya awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mipango Takwiku na Ufuatiliaji
      • Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Elimu ya awali na Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ununuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Election
    • Muundo wa Kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Legal Unit

Halmashauri imepata nakala zote za Sheria za Serikali za Mitaa pamoja na mabadiliko yote yaliyofanyika (Kitabu kimoja kinachounganisha sheria zote).

Sheria Ndogo za Halmashauri zimehuishwa na kulingana na hali halisi ya Halmashauri na kusambazwa katika ngazi zote za Halmashauri.

MAJUKUMU.

  • Kuhakikisha sheria , kanuni, taratibu,miongozo mbalimbali ya serikali inazingatiwa katika uendeshaji wa jumla wa Halmashauri.
  • Kushauri uendeshaji wa  wa vikao vya menejimenti, kamati za kudumu za robo mwaka na mikutano ya baraza kufuata kanuni za uendeshaji wa mikutano zilizopo pamoja na miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali.
  • Kusimamia masuala yote ya kisheria yahusuyo mashauri mbalimbali na mienendo ya kesi za Halmashauri katika vyombo vyote vya kisheria zikiwemo mahakama ngazi zote (Rufaa, Kuu, Mkoa na Wilaya) na mabaraza yote (Ardhi na Nyumba,Usululisho na Uamuzi n.k).
  • Kusimamia mchakato wa maandalizi ya utungaji na au uhuishaji wa mara kwa mara wa rasimu za sheria ndogo za Halmashauri zilizobadilika kisera au kupitwa na wakati.
  • Kusimamia utekelezaji wa sheria ndogo zilizotungwa katika utekelezaji wa majukumu ya Halmashauri ya kila siku.
  • Kutoa tafsiri ya sheria mbalimbali na elimu ya jumla kwa Umma na Watumishi kuhusu sheria-mama za Nchi na sheria ndogo.
  •  Kuratibu uendeshaji wa mabaraza ya kata katika Halmashauri.
  •  Kuhakiki  mikataba yote ya Halmashauri kabla ya kusainiwa ili kuangalia kama mikataba hiyo inakizi matwaka ya kisheria kwa manufaa ya Halmashauri .

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA MANISPAA YA MOSHI April 17, 2025
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI July 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU September 21, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA(JOINING INSTRUCTIONS)KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI 2021 December 18, 2020
  • Tazama

Habari Mpya

  • ZAWADI YA USAFI YARUDI NYUMBANI

    April 10, 2025
  • BAJETI YA KIMKAKATI WA KUONGEZA MAPATO YA NDANI

    February 07, 2025
  • MAMA SAMIA ATOA TSH. BILLIONI 956 KWA AJILI MIRADI YA MAENDELEOA MKOA WA KILIMANJARO

    January 27, 2025
  • MANISPAA YATOA MIKIPO ISIYO NA RIBA ZAIDI YA TSH. BILLION 1.1

    January 20, 2025
  • Tazama

video

ZAWADI YA USAFI YARUDI NYUMBANI
videos

Kurasa za Karibu

  • Instagram account

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi