MAJUKUMU
•Kusimamia sera, miongozo na sheria mbalimbali zinazohusu sekta ya Kilimo.
•Kusimamia upatikana, usalama wa chakula kwa kutekeleza malengo ya kilimo.
•Kuratibu utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya kilimo.
•Kuratibu upatikanaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo Manispaa.
•Kuratibu mafunzo ya wataalamu na wakulima kuhusu mbinu mpya za kilimo zinazopendekezwa kupitia tafiti mbalimbali.
•Kusimamia utayarishaji wa taarifa mbalimbali za idara kwa wakati, kuziwasilisha na kutunza kumbukumbu.
MOSHI MANISPAA KILIMANJARO
Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI
Simu: +255-027-2752906
simu ya Mkononi: +255-027-274371/4
Barua Pepe: md@moshimc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi