Posted on: September 27th, 2025
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi leo tarehe 27 Septemba 2025 imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 13.2 na ujenzi wa mifereji ya maji ya mvua yenye urefu wa kilomita 3.9.
...
Posted on: August 4th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Moshi Mjini, Wakili Sifael Kulanga, amewataka wasimamizi wasaidizi wa ngazi ya kata kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa bidii, uadilifu na kwa kuzingatia sheria na...
Posted on: July 15th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameipongeza Manispaa ya Moshi kwa kukabidhiwa tuzo mbili za pongezi za Taifa “Key Performance Indicators” (KPI) kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Ser...