Posted on: February 4th, 2021
Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na matumizi ya fedha kiasi cha Shilingi 750 zilizotolewa na Serikali Kuu kwa ya ukarabati wa Miundombinu ya Shule kongwe ya Sekondari ya Mawenzi.
...
Posted on: February 26th, 2021
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Moshi, limepitisha bajeti ya mwaka wa fedha wa 2021/202 ambayo ni zaidi ya Sh. Bilioni . 52,543,437,312.00
Mstahiki Meya wa Manispaa Juma Raibu Juma, alitangaza ba...
Posted on: December 7th, 2020
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Mh. Juma Raibu ameahidi kutoa donge nono kwa Mwananchi yeyote atakayefichua au kusaidia kukamatwa kwa wahalifu wanaoharibu na wanaoiba nyaya na betri za taa za barab...