• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi na Utamaduni
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Idara ya Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ununuzi na Ugavi
      • Teknolojia,Habari,Mawasiliano na Uhusiano
      • Uchaguzi
    • Muundo wa kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Videos

Elimu Msingi na Utamaduni

MAJUKUMU YA IDARA.

  • Kusimamia uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la Kwanza na Awali
  • Kuendesha usajili wa watahiniwa wa mtihani wa kumaliza Elimu ya msingi na mtihani wadarasa la IV
  • Kusimamia uendeshaji wa taaluma shuleni kwa kuangalia
  • Tendozima la ujifunzajinaufundishaji
  • Upatikanaji na utumiaji bora wa zana za kujifunzia na kufundishia
  • Mahudhurio ya wanafunzi na walimu
  • Upimaji uliosahihi wa ujifunzaji wa wanafunzi

Majukumu

  • Kuratibu shughuli za Elimu ya watu wazima (MUKEJA, MEMKWA, S/KIMU na UFUNDI STADI)
  • Kuratibu na kusimami aElimu maalum.
  • Kupokea na kuzifanyia kazi taarifa za ukaguzi
  • Kurekebishaikamayawalimu
  • Kushughulikia likizo za walimu
  • Kusimamia upatikanaji na utumiaji wa miundombinu ya shule
  • Kuratibu na kusimamia mafunzo ya muda mfupi na mrefu kwa walimu
  • Kusimamia uendeshaji wa mitihani ya kumaliza Elimu ya msingi naya darasa la nne na ufundi
  • Kusimamia uendeshaji wa michezo mbalimbali shuleni (UMITASHUMTA)
  • Kuratibu na kusimamia matumizi ya fedha za ruzuku ya uendeshaji
  • Kusimamia utekelezaji wa miongozo mbalimbali ya kielimu
  • Kusimamia ukusanyaji, uhifadhi na utoaji wa takwimu sahihi za kielimu kwa kutumia mfumo wa BEMIS
  • Kusimamia utoajiwa Elimu kwa kusisitiza umahiri wa kujuwa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa kuzingatia utumiaji wa

         zana bora zakujifunzia na kufundishia. Mfano Kompyuta Mpakato (Laptop) na ufundishaji kwa kutumia Power Point kwa madarasa ya I na II

  •  Kuhakikisha wanafunzi wote kuanzia Awali na Msingi wanakalia madawati wakati wa masomo ya darasani. 

Manispaa ya Moshi ina jumla ya shule 50 zikiwemo 35 za Serikali na 15 zisizo za Serikali. Katika Shule za Msingi kuna Shule 5 zenye Vitengo Maalumu kwa wanafunzi wenye ulemavu wa akili na wasioona na 1 ya viziwi.

Elimu ya Awali

Manispaa ya Moshi ina jumla ya shule 51 za elimu ya awali zikiwemo 35 za Serikali na 16 zisizo za Serikali.


Matangazo

  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA March 28, 2018
  • TANGAZO MAEGESHO YA MAGARI March 27, 2018
  • Boda Boda na Bajaji February 02, 2018
  • Stika za Magari ya Biashara February 02, 2018
  • Tazama

Habari Mpya

  • ZAIDI YA WANAFUNZI 29,000 WA SHULE ZA MSINGI WAPEWA DAWA ZA MINYOO

    April 18, 2018
  • HALMASHAURI ZAJIFUNZA SIRI YA MAFANIKIO YA USAFI

    March 26, 2018
  • MILA KANDAMIZI ZINAWANYIMA WANAWAKE FURSA

    March 08, 2018
  • BAJETI YA ZAIDI YA SH. BILIONI 48 YAPITISHWA KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019

    March 01, 2018
  • Tazama

video

Raisi akihutubia
videos

Kurasa za Karibu

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi