• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi na Utamaduni
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Idara ya Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ununuzi na Ugavi
      • Teknolojia,Habari,Mawasiliano na Uhusiano
      • Uchaguzi
    • Muundo wa kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Videos

Fedha na Biashara

MAJUKUMU YA IDARA YA FEDHA 

  • Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri kwa kufuata sheria mama na sheria ndogo za Halmashauri.
  • Kuhakikisha kwamba mapato yote yanakusanywa kwa kutumia mfumo  wa mapato (LGRCIS).
  • Kuandaa, kuwasilisha na kusimamia utekelezaji wa bajeti ya Halmashauri iliyopitishwa na kuhakikisha matumizi ya fedha 
  • yanafanyika kwa mujibu wa shughuli zilizoidhinishwa.Kusimamia matumizi ya fedha za serikali kwa kufuata kanuni, miongozo na sheria.
  • Kuandaa taarifa ya mapato na matumizi kila mwezi.
  • Kuandaa hesabu za mwisho kuishia Juni, 30 ya kila mwaka na kuwasilisha kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ifikapo 30.Septemba ya kila mwaka.
  • Kutoa ushauri wa masuala ya fedha kwa wakuu wa idara na vitengo.
  • Kumshauri Mkurugenzi katika masuala ya fedha.

 KITENGO CHA BIASHARA

Kitengo cha Biashara ni Kitengo kilichopo chini ya Idara ya fedha na Biashara. Kitengo hiki kinalojukumu kubwa la kutoa leseni za biashara pamoja na leseni za vileo, na utoaji wa leseni hizi ni kwa mujibu wa sheria kama ifuatavyo:-

 Leseni za biashara zinatolewa chini ya sheria ya leseni ya biashara Na. 25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake ya 1980,  2013 kifungu 11(1) na marekebisho ya mwaka 2015.

Leseni za vileo  zinatolewa chini ya sheria ya vileo ya mwaka 1968 kifungu Na. 28 na marekebisho yake ya mwaka 1981 na 2011.

Ushuru wa makazi unatozwa kwa kutumia sheria ya ulipaji wa Huduma za jiji Na. 23 (1972).

MAJUKUMU MENGINE NI KAMA HAYA YAFUATAYO:-

Kitengo cha Biashara pia kinayo majukumu mengine ambayo kinayatekeleza kama ifuatavyo;-

•    Usimamizi na Ukaguzi wa nyumba za kulala wageni na

•    Utozaji wa ushuru wa malazi (Hotel levy),

•    Utoaji wa mafuzo na ushauri kwa wajasiriamali wadogo na wakubwa.

•    Ukaguzi wa leseni zote na biashara,

•    Ukaguzi wa Viwanda vidogo na vikubwa.

•    Ushiriki na uandaaji wa maonyesho mbali mbali ya biashara.

•    Usajili wa Pikipiki, Bajaji na Taxi.


Matangazo

  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA March 28, 2018
  • TANGAZO MAEGESHO YA MAGARI March 27, 2018
  • Boda Boda na Bajaji February 02, 2018
  • Stika za Magari ya Biashara February 02, 2018
  • Tazama

Habari Mpya

  • ZAIDI YA WANAFUNZI 29,000 WA SHULE ZA MSINGI WAPEWA DAWA ZA MINYOO

    April 18, 2018
  • HALMASHAURI ZAJIFUNZA SIRI YA MAFANIKIO YA USAFI

    March 26, 2018
  • MILA KANDAMIZI ZINAWANYIMA WANAWAKE FURSA

    March 08, 2018
  • BAJETI YA ZAIDI YA SH. BILIONI 48 YAPITISHWA KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019

    March 01, 2018
  • Tazama

video

Raisi akihutubia
videos

Kurasa za Karibu

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi