MUHTASARI WA TAARIFA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KATIKA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023
UTANGULIZI
Makadirio ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa fedha 2022/2023 yameandaliwa kwa kuzingatia Hali halisi ya mapato na matumizi katika bajeti ya mwaka 2020/2021, Mapitio ya mwenendo wa mapato na matumizi katika bajeti ya mwaka 2021/2022 hadi kufikia mwezi Desemba 2021. Aidha,Mpango huu umezingatia Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2022/2023, Mpango Mkakati wa Halmashauri ya Manispaa, Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 hadi 2025, Vipaumbele vya Serikali na Manispaa kwa ujumla.
Vipaumbele vya Manispaa ya Moshi katika bajeti ya mwaka 2022/2023 ni:
Halmashauri imeongeza Bajeti ya mapato ya ndani kutoka Tsh. 6,432,335,999.56 Mwaka 2021/2022 hadi kufikia Tsh. 8,544,452,000.00 Mwaka 2022/2023. Kati ya fedha hizo Tsh. 5,882,353,121.00 ni mapato halisi na Tsh. 2,662,098,879.00 ni mapato Fungiwa. Ongezeko hilo limetokana na:
2.0 MAKADIRIO YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023
Mheshimiwa Mwenyekiti, Katika Mwaka wa fedha 2022/2023, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi inatarajia kukusanya na kupokea Jumla ya Tshs. 51,093,185,000 kutokana na fedha za Mapato ya ndani, Matumizi mengineyo, Miradi ya Maendeleo na Mishahara kama inyoonekana katika Jedwali.
Jedwali: Makadirio ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023
|
ITEM
|
|
A:
|
MAPATO YA NDANI
|
|
|
Mapato halisi
|
5,882,353,121.00 |
|
Mapato Fungiwa
|
2,662,098,879.00 |
|
Jumla mapato ya Ndani
|
8,544,452,000.00 |
B:
|
MATUMIZI MENGINEYO (OC)
|
|
|
Ruzuku ya uendeshaji - Elimu
|
83,811,000 |
|
Usafiri likizoni - Elimu
|
200,200,000 |
|
Uhamisho - Elimu
|
121,000,000 |
|
Kilimo na Mifugo
|
34,902,000 |
|
Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
|
149,831,000 |
|
Miundombinu
|
24,133,000 |
|
Utawala
|
129,532,000 |
|
Jumla OC
|
743,409,000 |
C:
|
MISHAHARA
|
|
|
Mishahara
|
32,012,839,000 |
D
|
FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
|
|
|
Fedha za Ndani
|
|
|
Ruzuku ya uendeshaji
|
309,634,000 |
|
Chakula Kutwa na bweni
|
1,434,645,000 |
|
Posho Waratibu, walimu wakuu na wakuu wa shule
|
189,000,000 |
|
Mitihani
|
542,377,000 |
|
Fidia ya Ada Kutwa na bweni
|
259,710,000 |
|
Ujenzi wa jengo la Utawala
|
1,000,000,000 |
|
Mradi Mkakati
|
2,000,000,000 |
|
Mfuko wa Jimbo
|
62,524,000 |
|
Ununuzi wa Vifaa Tiba Kwa Zahanati
|
50,000,000 |
|
Ununuzi wa Vifaa Tiba Kwa Vituo vya Afya
|
150,000,000 |
|
Ukamilishaji wa Hospitali za Wilaya
|
500,000,000 |
|
Ukamilishaji wa Zahanati
|
50,000,000 |
|
Ujenzi wa Madarasa Shule Kongwe za Msingi
|
180,000,000 |
|
Ukamilishaji wa Madarasa Shule za Msingi
|
50,000,000 |
|
Jumla ndogo fedha za Ndani
|
6,777,890,000 |
|
Fedha za Nje
|
|
|
Mfuko wa Pamoja wa Afya (HSBF)
|
256,396,000 |
|
Mfuko wa Jamii (TASAF)
|
632,160,000 |
|
Mradi wa Watoto chini ya miaka 5 (U5BRI)
|
10,000,000 |
|
EGPAF (5429)
|
140,559,000 |
|
SEQUIP
|
573,000,000 |
|
Boost Primary Student Learning- EP4R
|
1,290,000,000 |
|
Mradi wa kudhibiti Malaria
|
2,827,000 |
|
Mradi wa kuimarisha Afya(Health System Strengthening - GAVI)
|
109,653,000 |
|
Jumla ndogo Fedha za Nje
|
3,014,595,000 |
|
Jumla Miradi (C + D)
|
9,792,485,000 |
|
JUMLA KUU BAJETI (A+B+C+D)
|
51,093,185,000 |
|
|
|
MOSHI MANISPAA KILIMANJARO
Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI
Simu: +255-027-2752906
simu ya Mkononi: +255-027-274371/4
Barua Pepe: md@moshimc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi