• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
        • Elimu ya Msingi Michezo na Utamaduni
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya jamii na Ustawi wa Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango Takwiku na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ununuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Election
    • Muundo wa Kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Ukaguzi wa Ndani

Kitengo cha ukaguzi wa ndani ambacho kimeanzishwa chini yakifungu 45(1) cha sheria ya fedha ya mamlakayaserikalizaMitaana 13 yamwaka 1982(section 45(1) of local authority finances act) ni moja kati ya vitengo vilivyopo katika Halmashauri. Kitengo cha ukaguzi kinakuwa na majukumu ya kukagua, kusimamia na kushauri mambo ya fedha na mfumo wa Halmashauri kwa ujumla kuhakikisha maslahi ya Halmashauri yanalindwa na kumshauri Afisa masuuli juu ya matumizi bora ya fedha za serikali na mfumo mzima wa Halmashauri kwa ujumla. Kitengo cha ukaguziwa ndani katika Halmasahuri ya Moshi Manispaa kina watumishi Watano

KAZI NA MAJUKUMU YA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI

Kufanya ufuatiliaji na Ukaguzi na usimamizi wa fedha zote zinazokusanywa zinazopokelewa na Halmashauri

Kuhakikisha kuwa sera za matumizi ya fedha za serikali zinafuatwa kikamilifu kama zilivyohainishwa kwenye mamlaka za serikali za mitaa na sera nyinginezo za matumizi ya fedha.

Kufanya Ukaguzi wa matumizi ya ankra zote za Halmashauri kila robo mwaka na kuandaa ripoti kwa afisa masuuli kabla ya tarehe 15 ya mwezi unaofuata robo husika.

Kufanya ukaguzi wa miradi na mali zote za Halmashauri na kuhakiki uwepo thamani ya fedha (Value for money )

Kupitia na kuangalia utendaji na mfumo wa kilasi kuwa halmashauri na kuangalia kama utekelezaji.

Kuandaa mpango kazi wa kitengo cha  ukaguzi na kuuwasilisha katika kamati ya ukaguzi na kwa Afisa Masuuli. 

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2019 MANISPAA YA MOSHI December 14, 2018
  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA March 28, 2018
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 22, 2018
  • Boda Boda na Bajaji February 02, 2018
  • Tazama

Habari Mpya

  • MILLION 200 ZATOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU

    January 24, 2019
  • UJENZI WA KITUO CHA MABASI CHA NGANGAMFUMUNI KUANZA RASMI

    January 16, 2019
  • WAMACHINGA WAPEWA VITAMBULISHO

    December 29, 2018
  • MH.JAFO AITAKA MANISPAA KUHARAKISHA UJENZI WA KITUO CHA MABASI NGANGAMFUMUNI

    December 22, 2018
  • Tazama

video

videos

Kurasa za Karibu

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi