• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
        • Elimu ya Msingi Michezo na Utamaduni
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mipango Takwiku na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ununuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Election
    • Muundo wa Kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

MANISPAA YA MOSHI YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 52

Posted on: February 26th, 2021

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Moshi, limepitisha bajeti ya mwaka wa fedha wa 2021/202 ambayo ni zaidi ya Sh. Bilioni . 52,543,437,312.00

Mstahiki Meya wa Manispaa Juma Raibu Juma, alitangaza bajeti hiyo , wakati akifunga kikao cha Baraza la Madiwani kilichoketi kujadili na kuidhinisha mapendekezo  ya bajeti.

“Bajeti hii ya Shilingi billion  52,543,437,312.00  tuliyoipitisha leo, inajumuisha miradi ya maendeleo, mishahara na matumizi mengineyo ya Manispaa yetu, lakini mapato ya ndani ni sh. bilioni 6,432, 335,672 na hii ni pamoja na ongezeko la zaidi shilingi milioni 150,”alisema Mstahiki Meya

Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imeweza kupandisha mapato yake kutoka kwenye vyanzo vyake kutoka  kiasi cha sh. bilioni 6.2 hadi kufikia 6.4.

Kutokana na mafanikio hayo, Mstahiki  Meya huyo alimwomba Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa   Bw. Uhuru Mwembe kuhakikisha kuwa anasimamia vizuri ukusanyaji wa mapato ili bajeti hiyo iweze kufikiwa kwa lengo la kuwaletea wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Maendeleo .

.Aidha Mstahiki Meya  alisema Manispaa  imejipanga kuhakikisha inaweka nguvu zake katika ukusanyaji  mapato na kusimamia miradi miradi ya maendeleo ili ilete mabadiliko ya kiuchumi kwa  wananchi na wakazi wa Manispaa ya Moshi .


Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA(JOINING INSTRUCTIONS)KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI 2021 December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 MANISPAA YA MOSHI December 18, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI July 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU September 21, 2020
  • Tazama

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA MKOA KILIMANJARO YARIDHISHWA NA UONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI KWA MATUMIZI MAZURI FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO

    February 04, 2021
  • MANISPAA YA MOSHI YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 52

    February 26, 2021
  • SAKATA LA WIZI TAA ZA BARABARANI MEYA MOSHI AHAIDI DONGE NONO

    December 07, 2020
  • MSTAHIKI MEYA AWAHAKIKISHIA MADIWANI NA WATENDAJI USHIRIKIANO

    December 04, 2020
  • Tazama

video

videos

Kurasa za Karibu

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi