• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
        • Elimu ya Msingi Michezo na Utamaduni
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya jamii na Ustawi wa Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango Takwiku na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ununuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Election
    • Muundo wa Kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

MANISPAA YA MOSHI YAJADILI NA WADAU MPANGO KABAMBE WA MWAKA 2019-2039

Posted on: December 19th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mh. Kippi Warioba amewataka washiriki wa kikako kazi cha kujadili Mpango Kabambe wa Manispaa ya Moshi wa Mwaka 2019-2039 kuzingatia mahitaji ya wananchi wanapojadili  ili  mpango uweze kuwarahisishia wananchi katika shughuli zao maendeleo.

Akifungua kikao kazi cha kujadili Mpango Kabambe katika ukumbi  Mkuu wa Mkoa  19 Decemba 2019 ,Warioba amesema kuwa suala la ukuaji wa mji huwa haliepukiki hivyo changamoto zote zinazotokana na ukuaji wa mji zitumike kama fursa na kuhakikisha zinawekwa katika Mpango Kabambe ambao ndio dira na muelekeo wetu kwa miaka ijayo.

Alisema suala kubwa katika  Mpango Kabambe ni kujua shughuli zote za kijamii,Kiuchumi,Kiutawala na kimazingira zinafanyika juu ya ardhi,hivyo ni muhimu kuandaa mipango ya matumizi bora ya ardhi ili kutumia rasilimali ardhi ili kutumia rasilimali ardhi kwa ufanisi na kuleta  maendeleo endelevu.

“Ni matumaini yangu kuwa mpango huu utakapokamilika tutahakikisha kuwa tunautekeleza ili uweze kusimamia na kuratibu shughuli zote za maendeleo na ukuaji wa Manispaa yetu”Warioba alisema

Aidha ifahamike kuwa Manispaa ya Moshi ndipo yaliyopo Makao Makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro ambapo shughuli zote za kiutawala,kijamii na kiuchumi zinafanyika,Kwahiyo mji huu ni kitovu cha utawala na ukuaji wa uchumi Mkoa wa Kilimanjaro,Kwa undaa kuutekeleza na kuusimamia huu Mpango Kabambe,mji  huu utakuwa kwa utaratibu mzuri kwa vile utakuwa na meaneo ya wazi,maeneo ya makazi,viwanda,huduma za jamii,biashara,taasisi na sehemu za starehe na michezo.

“Mpango wa huu Kabambe utatoa fursa ya idadi kubwa ya watu hasa vijana kutoka vijijini kujitafutia riziki na kwa kuuza bidhaa mbalimbali”Alisema.



Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA(JOINING INSTRUCTIONS)KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI 2021 December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 MANISPAA YA MOSHI December 18, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI July 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU September 21, 2020
  • Tazama

Habari Mpya

  • SAKATA LA WIZI TAA ZA BARABARANI MEYA MOSHI AHAIDI DONGE NONO

    December 07, 2020
  • MSTAHIKI MEYA AWAHAKIKISHIA MADIWANI NA WATENDAJI USHIRIKIANO

    December 04, 2020
  • MANISPAA YA MOSHI YAFANIKIWA KUTOA MIKOPO YA ZAIDI BIL 1.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    October 23, 2020
  • MANISPAA YA MOSHI YAFANIKIWA KUTOA MIKOPO KWA ASILIMIA MIA MOJA

    July 02, 2020
  • Tazama

video

videos

Kurasa za Karibu

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi